Sidebar with Floating Button
MHUBIRI
☰
AckyShine

Mabadiliko gani yanatokea kwenye miili ya wavulana Wakati wa makuzi au wakati wa kubalehe?

Featured Image
0 Comments

USHAURI WANGU ANZA KUAJIRIWA KAMA MUWEKEZAJI TU ILI UJIAJIRI NA KUAJIRI WENGINE

Featured Image

Kwa lugha nyepesi ni kwamba ukiajiriwa maana yake umeshindwa kujitegemea kwa ujuzi wako (yaani hujui ufanyie nini) hivyo umeona uukabidhi ujuzi wako kwa wenye "akili na uwezo" wa kuupangia matumizi ya huo ujuzi wako.

Ndio maana licha ya kwamba elimu ni yako wewe, maarifa ni yako wewe, vyeti ni vyako wewe; na kazi unafanya wewe; lakini hao waliokuajiri ndio wanakuamulia kiasi gani wakulipe! Si hivyo tu bali pia wanao uhuru wa kukupiga mkwara, kukutishia na hata kukufukuza muda wowote (utakapowakosea, watakapojisikia ama watakapokuchoka)! Nini nakwambia? Kama umeajiriwa, usiridhike wala usibweteke na mshahara pekee kwa 100%, hebu jiongeze aiseee, una uwezo wa kuzalisha zaidi sambamba na mshahara (waliojisikia) kukulipa.

0 Comments

Strengthening Couple Bonds: Resilient Co-Parenting Strategies

No Image
πŸ‘«πŸŒŸ Discover the power of emotional resilience in parenting! πŸ’ͺ❀️ Learn how to support each other through it all. Read now! πŸ“–πŸ˜Š #ParentingGoals
0 Comments

Kukuza Ujuzi wa Kujitunza na Usafi kwa Watoto Wetu: Kuendeleza Tabia Nzuri za Usafi

Featured Image
Kukuza Ujuzi wa Kujitunza na Usafi kwa Watoto Wetu: Kuendeleza Tabia Nzuri za Usafi! 🧼🚿🌱🌈 Soma makala hii ili kugundua jinsi ya kufanya usafi kuwa mchezo mzuri na muhimu kwa watoto wetu! πŸ˜„πŸ‘§πŸ‘¦ #UsafiNiUhai #SafishaKwaFuraha
0 Comments

Couple's Guide to Financial Harmony: Building a Strong Shared Financial Future

No Image
🌟 Discover the secret to a financially balanced life as a couple! πŸ’‘πŸ’° Prioritize needs and wants πŸ πŸ’ƒπŸŽ‰ and enhance your relationship. Read on and find out more! πŸ“šπŸ” #FinancialBalance #CoupleGoals
0 Comments

Jinsi ya Kujenga Maadili na Maadili Mazuri katika Familia

Featured Image
Kujenga Maadili Mazuri katika Familia: Mbinu na Mikakati
0 Comments

Unwavering Faith: 15 Paths to God's Enduring Love and Hope

No Image
Discover the Eternal Light: 15 Paths to Seek Hope and Strength through God's Unwavering Love
0 Comments

Mapishi ya Pilau Ya Nyama ya Kusaga, Adesi Za Brauni Na Zabibu

Featured Image
0 Comments

15 Biblical Practices to Cultivate Gratitude and Enhance Well-being

No Image
Embracing a Grateful Heart: 15 Ways to Honor God's Blessings and Cultivate Thankfulness in Daily Life.
0 Comments

15 Expert Tips for Dramatic & Bold Eye Makeup

No Image
Get ready to slay with these pro tips on creating a fierce and captivating eye makeup look that will leave jaws dropping!
0 Comments
πŸ“˜ About πŸ”’ Login πŸ“ Register πŸ“ž Contact