Log in to access your menu with tools for managing π tasks, π₯ clients, π° finances, π learning, π personal growth, and π spirituality, all in one place!.
Unganisha imani na maisha yako kupitia π Sala, π Masomo ya Misa, π Mafundisho, π‘ Tafakari, π° Makala, na π My System kwa usimamizi wa maisha binafsi. Tunakukaribisha kwenye safari ya kiroho na kimwili!.
SMS nzuri ya kumtumia umpendaye kumwambia unavyompenda na kumridhia
Updated at: 2024-05-25 15:24:10 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Siku zote kwangu ni sherehe ni wewe unishereheshaye,ukweli usio na kejeli mapenzi yako yanatii kiu yangu,moyoni mwangu nimeridhia⦠.nakupenda daima mpenzi!
SMS ya kimahaba ya upendo ya kumtumia mpenzi wako anapoenda kwa mwingine
Updated at: 2024-05-25 15:21:53 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Nakupenda sana mwandani wangu ndiyo maana moyo wangu hupatwa kidonda ninaokuona na mwingine hasa anapokuwa hana sifa, nahisi kama anakutumia wewe kama mdori wake wa kumfurahisha. Uwe makini ua la moyo wangu.
Ujumbe kwa mpendwa kumwambia unampenda na kumuomba akupende
Updated at: 2024-05-25 15:24:25 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
kamwe cwez kuacha kukupenda,utaendelea kujificha moyo mwangu cku zote za maisha yang,maana wewe ndiye mhimili wa maisha yangu,tafadhal naomba unipende milele!