Log in to access your menu with tools for managing π tasks, π₯ clients, π° finances, π learning, π personal growth, and π spirituality, all in one place!.
Unganisha imani na maisha yako kupitia π Sala, π Masomo ya Misa, π Mafundisho, π‘ Tafakari, π° Makala, na π My System kwa usimamizi wa maisha binafsi. Tunakukaribisha kwenye safari ya kiroho na kimwili!.
Updated at: 2024-09-03 07:51:13 (1 year ago by SW - Melkisedeck Shine)
Ikiwa penzi langu kwako litakufa halitazikwa,ikiwa moyo wangu ni mwandiko hautafutika na kama dhati yangu ni machozi daima hayatokauka na wewe kwangu ni damu ngozini haitochuruzika ila mishipani⦠.
Updated at: 2024-05-25 15:36:18 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Dah! Safari yetu ilikuwa ngumu kweli ila hatimaye tumefika japo ni usiku sana hebu tupige hodi tusije kabwa na vibaka hapa nje. Hodiiiiii, Hodiiiii, Tunaomba tufungulie Mlango,, sisi tunaitwa FURAHA, AMANI na UPENDO. Tumebeba HEKIMA, BUSARA na MAFANIKIO. Tulikuwa wengi HURUMA na UPOLE wanakuja nyuma. CHUKI na WIVU hawana nauli. TABU ni mahututi. SHIDA yuko jela. MATATIZO amepigwa shoti ya umeme. MIKOSI amefariki njiani. LAANA ameliwa na mamba. UVIVU ameungua na maji ya moto hajiwezi. Tutakuwa nawe daima maana tumefika kwa NEEMA . Mungu akulinde na mabaya yote katika dunia hii. ucku mwema.
SMS kali ya kimahaba ya kumtumia mpenzi wako kumwambia alivyokuteka moyo na akili zako
Updated at: 2024-05-25 15:25:53 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Mpenzi wangu kukutana nawe ilikuwa ni bahati, kukuchagua kuwa rafiki yangu ilikuwa ni maamuzi yangu, lakini kuanguka kwenye penzi lako haikuwa hiyari yangu. Umeniteka moyo na akili yangu pia.
Ujumbe mtamu wa mahaba kwa umpendaye kumwambia maana ya upendo
Updated at: 2024-05-25 15:23:34 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
upendo ni jibu kwamba kila mmoja anataka⦠. upendo ni lugha , kwamba kila mmoja anaongea, upendo hauwez kununuliwa, na icyo kadirika na ya bure,upendo kama uchawi safi,ni siri ya maisha matamu nakupenda mpz
Updated at: 2024-05-25 15:26:24 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi akupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi, pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi, nakupenda la azizi.