Log in to access your menu with tools for managing π tasks, π₯ clients, π° finances, π learning, π personal growth, and π spirituality, all in one place!.
Unganisha imani na maisha yako kupitia π Sala, π Masomo ya Misa, π Mafundisho, π‘ Tafakari, π° Makala, na π My System kwa usimamizi wa maisha binafsi. Tunakukaribisha kwenye safari ya kiroho na kimwili!.
Ujumbe wa kimapenzi wa kumwambia mpenzi wako kuwa haupo tayari kumpenda mwingine kwani unampenda yeye tuu
Updated at: 2024-05-25 15:24:57 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
sipo tayari kuukabidhi moyo wangu kwa mwingine zaidi yako,wewe ni wa pekee maishani mwangu mwenye kujua hisia moyoni mwangu mpenzi nipende daima pendo lako nitalienzi, nakupenda
Updated at: 2024-05-25 15:26:24 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi akupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi, pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi, nakupenda la azizi.
SMS ya kumtumia mpenzi wako kumuahidi kuendelea kumpenda daima
Updated at: 2024-05-25 15:22:36 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Moyo wangu umehifadhi hisia zako, nakuahidi kamwe sintopunguza upendo kwako, tunza sms hii ya ahadi kwenye simu yako, iwe kumbukumbu kila uisomapo! "NAKUPENDA MALAIKA WANGU"
Ujumbe mzuri wa SMS wa kumfariji mpenzi wako maisha yake yanapokuwa magumu
Updated at: 2024-05-25 15:36:58 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Furaha yangu kubwa ni kuliona tabasamu lako, kujua uko na furaha, na kuhisi upendo wako. Najua kuwa maisha mara nyingine huwa ni makatili, na hiyo ni sababu niko hapa kukuonyesha kuwa maisha yanaweza kuwa mazuri kama kuna mtu anayekujali.
Meseji nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa wewe ndiye unayempenda wa kwanza
Updated at: 2024-05-25 15:23:10 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
β₯Watu wanao pendana daima hukumbukana!!! Na salamu kusalimiana!!! Afya njema kutakiana!!! Huruma huoneana!!! Kwenye shida husaidiana!!! Makosa husameheana!!! Katika dhiki huvumiliana!!! Kila jambo zur hupeana!!! Maneno mazur yaliyo jaa upendo huambiana!!! Ushaur mwema hushauriana na njia za mafanikio huonyeshana!!! Mbele ya madui hulindana!!!nai ni mmoja katia ya wakupendao,hakika ni mm wa kwanza kwanza wengine wanafataβ₯
Updated at: 2024-05-25 15:26:35 (2 years ago by SW - Melkisedeck Shine)
Unaonekana kungβara leo nilijuajeβ¦β¦.ni kwasababu unaonekana hivyo kila siku. Nakupenda sana Mpenzi wangu vile ulivyo kila siku kwangu wewe ni mpya.