Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_fad1ad544f0ea944b4302088d64b6f83, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/mhubiri/display_user.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/mhubiri/display_user.php on line
4
SALA YA KUMWABUDU BWANA YESU KATIKA SAKRAMENTI TAKATIFU
Date: January 1, 2016
Author: DIN - Melkisedeck Leon Shine
Ee Yesu Kristu,/ Bwana wangu na Mungu wangu/ ambaye ninasadiki kuwa upo hapa/ katika Sakramenti Takatifu ya Altare;/ pokea kitendo hiki cha kukuangukia kifudi fudi/ kama ishara ya tamaa niliyonayo ya kukuabudu Wewe/ bila kuchoka/ na kukushukuru kwa mapendo yako makubwa/ yasiyo na kipimo/ ambayo Moyo wako Mtakatifu sana/ unawaka katika Sakramenti Takatifu hii./ Siwezi kukushukuru vizuri zaidi/ kuliko kama ningetolea kwako/ matendo yangu yote ya kukuabudu/ unyenyekevu wangu/ uvumilivu na mapendo/ ambayo huu Moyo Mwabudiwa ulifanya,/ bado unafanya/ na utaendelea kufanya katika uzima wa milele mbinguni./ Ninaahidi kupitia Moyo huu,/ nitakupenda,/ nitakutukuza,/ na nitakuabudu kama nitakavyoweza./ Ninajiunganisha na hii Sadaka Takatifu/ ambayo unatoa kwa Baba Mungu/ na ninatolea kwako utu wangu./ Ninakuomba kuangamiza ndani yangu/ dhambi zote pamoja na majeraha yake/ na usikubali kunitenga nawe milele./ Amina.
(Na Mt. Margareta Maria Alakoki)
Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_fad1ad544f0ea944b4302088d64b6f83, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/mhubiri/comments.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/mhubiri/comments.php on line
4
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Tusali kila siku sala hizi, angalau kwa mwezi wa saba (Julai) kila mwaka, mwezi wa kuhesh...
Read More
Ewe Mtakatifu Yuda Tadei,/ mtume mtukufu na shahidi wa Kristo,/ umesifika pote kwa wepesi wako wa...
Read More
Ee Yesu Mfungwa wa Upendo wa Mungu,/ ninapofikiri Upendo wako na jinsi ulivyojitolea kwa ajili ya...
Read More
Bwana utuhurumie Bwana utuhurumie
Kristo utuhurumie Bwana utuhurumie
Bwana utuhurumie B...
Read More
Ee Yesu mwenye huruma, mpenda roho za watu, nakuomba kwa ajili ya kuzimia kwa Moyo wako Mtakatifu...
Read More
Ee Mtukufu Mt. Yosefu, ulichaguliwa na Mungu kuwa Baba Mlishi wa Yesu, mchumba safi kabisa wa Mar...
Read More
Roho ya Kristo unitakase
Mwili wa Kristo uniokoe
Damu ya Kristo unifurahishe
Maji ...
Read More
Utukuzwe ee Bwana wangu Yesu Kristo./ Uliagua kifo chako./ Katika karamu ya mwisho ulitumia mkate...
Read More
Malaika wa Mungu Mlinzi wangu mpenzi,
Ambaye upendo wake unanifanya niwepo hapa,
Uwe na...
Read More
Kwa nguvu zangu zote za moyo wangu/ ninakuabudu ee Moyo Mtakatifu/ na Mwabudiwa sana,/ Moyo Mtaka...
Read More
Read More
SALA YA ASUBUHI
Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu Mwenyezi, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu,...
Read More
George Mallya (Guest) on February 26, 2017
Kwa Mungu, yote yanawezekana
Chris Okello (Guest) on February 25, 2017
Tumaini ni nanga ya roho
Nora Kidata (Guest) on February 19, 2017
Upendo wa Mungu na rehema zake havikosei kamwe
Hamida (Guest) on February 7, 2017
🙏🙏🙏
Nora Lowassa (Guest) on February 4, 2017
Mungu ana mpango kwa ajili yako, muamini
Elizabeth Mtei (Guest) on December 9, 2016
🙏✨ Mungu atupe nguvu
David Sokoine (Guest) on November 13, 2016
Mungu ni mwaminifu; hatakuacha kamwe wala hatakupungukia
Bernard Oduor (Guest) on September 6, 2016
Ahadi za Mungu ni za kweli daima
Agnes Sumaye (Guest) on August 16, 2016
Hadithi yako haijaisha; Mungu bado anaandika
Andrew Odhiambo (Guest) on July 24, 2016
Hauko peke yako; Mungu yuko nawe
Francis Mrope (Guest) on June 6, 2016
Rehema za Mungu ni kubwa kuliko kosa lolote
Chris Okello (Guest) on April 20, 2016
🙏❤️💖 Bwana akujalie baraka
Lucy Kimotho (Guest) on January 30, 2016
Endelea kuwa na imani!
Jackson Makori (Guest) on January 26, 2016
Sifa kwa Bwana!
Sarah Karani (Guest) on January 25, 2016
🙏❤️ Mungu ni mkombozi
Fredrick Mutiso (Guest) on January 20, 2016
🙏❤️ Mungu ni mwaminifu
Catherine Mkumbo (Guest) on January 19, 2016
🙏✨💖 Mungu atajibu maombi yako
Edward Chepkoech (Guest) on September 23, 2015
🙏💖 Nakusihi Mungu
Joseph Kawawa (Guest) on August 1, 2015
🙏✨ Mungu atakuinua
Sarah Karani (Guest) on June 24, 2015
🙏✨ Neema ya Mungu iwe nawe
Ann Awino (Guest) on June 12, 2015
Neema ya Mungu inatosha kwako
Victor Kamau (Guest) on June 7, 2015
🙏💖 Nakushukuru Mungu
Samson Tibaijuka (Guest) on May 14, 2015
Amina