Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_f1ecc483f99c9ca7bdd5c604a9ca30c7, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/mhubiri/display_user.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/mhubiri/display_user.php on line
4
Mchumba anayefaa kufunga naye ndoa
Date: January 13, 2017
Author: SW - Melkisedeck Shine
Maisha ya ndoa yanahitaji maandalizi mazuri, kama waswahili wasemavyo nyote njema huonekana asubuhi, asubuhi ya maisha ya ndoa ni kipindi cha uchumba. Ndugu zangu, kipindi cha uchumba ni lazima tukitumie vizuri na kwa makini na kila jambo, ukitambua hakuna jambo dogo wa kubwa, kila jambo uliangalie katika mapana yake na katika uzito wake.
Hivyo basi huyo anayetaka kuwa na wewe jiulize maswali haya juu yake;
1. Je anamtambua Mungu na kuishi maisa ya kumpendeza Mungu, katika matendo yake na maneno yake?
2. Je huyo mchumba wako yupo tayari kukusaidia wewe kufikia malengo yako katika maisha?
3. Je huyo mchumba wako anakuheshimu na kukusikiliza au mtu anayekudharau?
4. Je mchumba wako anakushirikisha kila jambo kuhusu maisha yake na pia kuwa na utayari wa kupokea mawazo yako?
5. Je mchumba wako ana mawasiliano na wewe kwa kiasi kikubwa na kukujulia hali mara kwa mara?
6. Je mchumba wako yupo tayari kujitoa kwa ajili yako kwa hali na mali ili kufikia malengo yenu ya pamoja?
7. Je unatambua mazuri na mapungufu ya mchumba wako, hasa tukitambua hakuna mtu ambaye ni mkamilifu na namna gani mnasaidiana katika madhaifu yenu
8. Je mchumba wako ni msikivu au ni mtu ambaye anapoamua jambo ndilo analotaka hawezi kukusikiliza wala kupokea mapendekezo yako?
9. Je mchumba wako ni mwaminifu na anajitunza kwa ajili yako wewe tu au ni mtu ambaye haeleweki heleweki?
10. Je mchumba wako yupo tayari kukusamehe unapomkosea au kuomba msamaha anapokosea, au ni mtu mbishi
Haya ni mambo machache ambayo ni lazima kuyatafakari kuhu mchumba wako kama anakufaa kuunga naye NDOA? Usikurupuke.
Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_f1ecc483f99c9ca7bdd5c604a9ca30c7, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/mhubiri/comments.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/mhubiri/comments.php on line
4
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Kuunda mazingira ya kujifunza yenye kusisimua katika familia ni muhimu sana kwa watoto wako kuend...
Read More
Heshima na uthamani ni mambo muhimu sana katika mahusiano, kwani yanajenga msingi thabiti wa upen...
Read More
Jinsi ya Kusimamia Majukumu ya Kazi na Familia: Kujenga Usawa na Ufanisi
Hivi karibuni, ma...
Read More
Mahusiano ni muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku. Hata hivyo, mahusiano hayawezi kuwa ya ...
Read More
Wewe ni mpenzi mzuri na unapenda msichana wako kwa dhati. Lakini je, unamwonyesha upendo kila sik...
Read More
Kuendeleza na Kuimarisha Familia Yako: Mipango ya Baadaye
Familia ni kitovu cha maisha yet...
Read More
-
Macho ya msichana
Macho ya msichana ni njia moja wapo ya kujua iwapo msichana anavutiwa...
Read More
Kuhamasisha Ushirikiano wa Kifedha na Kuunda Malengo ya Kifedha Pamoja katika Familia
Ushi...
Read More
Je, umri unaathiri ngono/kufanya mapenzi katika uhusiano?
Hakuna jibu moja sahihi kwa swal...
Read More
Karibu kwenye makala hii kuhusu jinsi ya kujenga maisha yenye furaha na ufanisi katika familia ya...
Read More
Kufanya mapenzi ni moja ya mambo muhimu katika maisha yetu. Kwa kuwa mapenzi yana athari kubwa kw...
Read More
Habari Rafiki yangu, leo tutazungumzia njia za kupitia matatizo ya fedha katika uhusiano wako. Kw...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!