Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_c1040469ea820442f1ca586324e3b635, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/mhubiri/display_user.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/mhubiri/display_user.php on line
4
Vitu (6) sita usivyotakiwa kufanya kabla ya kulala
Date: January 16, 2021
Author: SW - Melkisedeck Shine
1. USILALE UKIWA UMEVAA SAA.
Saa ya mkononi ina madhara iwapo
utaivaa kwa muda mrefu,
wanasayansi
wanashauri sio sahihi kulala ukiwa
umevaa saa mkononi.
2. USILALE UMEVAA SIDIRIA
(wanawake
wanayovaa kwenye matiti ).
Wanasayansi wa America
wamegundua kuwa wanaovaa sidilia
zaidi ya masaa 12 Wako kwenye
hatari zaidi ya kupata Kansa ya
matiti.
3. USILALE NA SIMU IKIWA KARIBU.
wanasayansi wanashauri usiweke
simu pembeni kwa sababu mionzi
ya simu sio salama hasa ukiwa
umelala, ni vizuri ukaizima kama ni
lazima ukae nayo karibu.
4. USILALE UKIWA UMEWEKA MAKE
- UP
(usoni). Hii usababisha ngozi
kutopumua vizuri na kutopata
usingizi kwa haraka.
5. USILALE UMEVAA NGUO YA
NDANI - Ili kuwa huru na kulala ni
vyema ukalala bila kubanwa
na kitu chochote, nguo ya ndani
haitakiwi.
KITU CHA MWISHO NA CHA MUHIMU
KULIKO VYOTE NI β¦.
6. USILALE NA MKE/MUME WA MTU.
wanasayansi wanasema jambo kama
hili linapotokea na ukabainika
linaweza chukua uhai wa mtu hata
kukuacha na maumivu baada ya
kuharibiwa uso kwa makondo yasiyo
na mpangilio, ni vizuri ukawa makini
sana hapa!
Ukibisha yakikukuta shauri yako!
Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_c1040469ea820442f1ca586324e3b635, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/mhubiri/comments.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/mhubiri/comments.php on line
4
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
ITAKUSAIDIA KIJANA PLEASE ISOME NA UITAFAKARI
SINTOFAHAMU MAISHANI KATI YA MIAKA 24 HADI 29...
Read More
Kutambua maadui zako ni muhimu katika kulinda na kuhifadhi afya yako, ustaw...
Read More
1. "Jifunze kushindwa na ujifunze kusimama tena." - Unknown
Kutunza heshima yako ni muhimu katika kujenga uhusiano mzuri na kuwa na mai...
Read More
Kuwa na busara ni muhimu katika maisha yetu ya kila siku. Hapa kuna vidokez...
Read More
1. "Mafanikio ni matokeo ya kujituma na kutokuacha kamwe." - Unknown
Read More
Dada mmoja akiwa ofisini alipigiwa simu kuwa mwanae amepata ajali wakati anatoka shule, alikuwa a...
Read More
Kukabiliana na chuki za watu ni muhimu ili kujilinda na kuhifadhi afya yako...
Read More
Kuwa jasiri ni jambo ambalo linaweza kujifunza na kukuza kwa kujitolea. Hap...
Read More
1. "Uongozi ni kuwa mwangalizi wa nyota zinazoongoza wengine kwenye giza." ...
Read More
1. "Marafiki ni familia tunayochagua wenyewe." - Unknown
Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_c1040469ea820442f1ca586324e3b635, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/mhubiri/bottom_menu.php on line
3
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/mhubiri/bottom_menu.php on line
3
No comments yet. Be the first to share your thoughts!