Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_a568c08927d1358fcf50770e5b7fd233, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/mhubiri/display_user.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/mhubiri/display_user.php on line
4
Jinsi ya kupika kisamvu bila nazi
Date: May 24, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Kisamvu ni aina ya mboga ya majani inayopatikana kwa wingi na kwa urahisi katika mikoa takriban yote nchini Tanzania.
Pia aina hii ya mboga hupikwa katika mapishi ya aina mbalimbali kulingana na mahitaji ya mpishi.
Aina hii ya mboga kama zilivyo mboga zingine za majani ni nzuri na muhimu kwa afya ya binadamu. Aina hii ya mboga huleta virutubisho mbalimbali mwilini.
Hapa tunaenda kuona mapishi ya kisamvu kwa kutumia mafuta bila nazi kama ilivyozoeleka na wengi.
Mahitaji :
β’ Kisamvu kilichotwangwa na kuwa laini
β’ Kitunguu maji
β’ Kitunguu swaumu
β’ Kunde mbichi
β’ carrots
β’ Mafuta ya kula
β’ Chumvi kiasi
Maandalizi :
β’ Chemsha kisamvu ukiwa umechanganya na kunde mpaka uhakikishe vyote vimeiva. Baada ya kuiva weak pembeni.
β’ Chukua sufuria kavu, weak mafuta kasha weak katika jiko na yakipata moto weak kitunguu na koroga mpaka kibadilike rangi kasha weak kitunguu swaumu na endelea kukoroga kwa muda baada ya hapo weak carrots na kisha weka kisamvu chako ambacho kimechanganywana kunde.
β’ Endelea kukoroga kwa muda na kasha acha kichemke mpaka uhakikishe mboga yako imeiva vizuri.
β’ Mboga hii iko tayari kwa kulikwa na inaweza ikaliwa na wali au ugali.
Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_a568c08927d1358fcf50770e5b7fd233, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/mhubiri/comments.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/mhubiri/comments.php on line
4
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Mahitaji
Maharage yaliyochemshwa kiasi
Spinach zilizokatwa kiasi
Vitunguu maji ...
Read More
Viamba upishi
Unga 2 Viwili
Sukari ya kusaga 1/4 Kikombe
Siagi 250 gms
...
Read More
Mahitaji
Ndizi mbichi 6
Nyama ya ng'ombe (nusu kilo)
Viazi mviringo 2
Kitu...
Read More
Mahitaji
Viazi utamu 3
Nyanya 2 kubwa
Kitunguu
Tango
Limao
Chumv...
Read More
Yai bichi linaweza kuwa na vijidudu viitwavyo kwa kitaalamu βSALMONELLAβ vinavyoweza kusababi...
Read More
Vipimo Vya Ugali:
Unga wa mahindi/sembe - 4
Maji - 6 takriban
Viambaupishi
- Mchele (Basmati) - 3 vikombe
- Mbogamboga za barafu (karot, njege...
Read More
Upishi wa vyakula vya virutubishi kama vile karanga na mbegu ni muhimu sana kwa afya yetu. Kwa ba...
Read More
VIPIMO
Mchele - 3 Vikombe
Mchicha
Mafuta - 1/2 kikombe
Vitunguu maji - ...
Read More
Mahitaji
Daal (lentils) nyekundu au/na kijani - 1 Kikombe kikubwa
Bizari ya manjano...
Read More
Kuishi ukiwa na afya na kuishi maisha marefu kunawezekana kwa kubadili hali ya maisha unayoishi i...
Read More
Vipimo
Mchele wa basmati/pishori - 4 vikombe vikubwa (mugs)
Kuku - 2
Vitnguu ...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!