Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_70e939a38666ea914f394be47fbfdea5, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/mhubiri/display_user.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/mhubiri/display_user.php on line
4
Dunia haijali mazuri yako ila ubaya wako, jiamini songa mbele
Date: October 10, 2017
Author: SW - Melkisedeck Shine
Siku moja mwalimu wa shule aliandika ubaoni kama ifuatavyo:
9Γ1=7
9Γ2=18
9Γ3=27
9Γ4=36
9Γ5=45
9Γ6=54
9Γ7=63
9Γ8=72
9Γ9=81
9Γ10=90
Alipo maliza kuandika tu, akaona wanafunzi wote walikua wanamcheka, kwasababu alikua amekosea swali la kwanza.
Mwalimu aliwatazama wanafunzi, kisha akawaambia yafuatayo:
`"Nimejikosesha lile swali la kwanza makusudi, kwasababu nilihitaji mjifunze kitu kimoja muhimu sana. Mnapaswa kujua namna ambavyo dunia inaweza kuwachukulia. Unaona hapo, nimeandika kwa usahihi mswali tisa (9), lakini hakuna kati yenu aliyenipongeza kwa hilo; wote mmecheka na kunilaumu kwasababu ya kosa moja tu nililofanya."`
Hivyo, hili ni somo kwenu:
`"Dunia haijali mazuri unayofanya hata ukiyafanya mara milioni, lakini fanya baya moja uone jinsi watakavyo kulaumu..."`
"`Hata hivyo usikatetamaa, MARA ZOTE SIMAMA IMARA NA USHINDE VIKWAZO VYOTE." `
JIAMINI
Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_70e939a38666ea914f394be47fbfdea5, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/mhubiri/comments.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/mhubiri/comments.php on line
4
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Kuna baadhi ya LEVEL huwezi kufikaβ¦Kuna MAFANIKIO huwezi kuyafikiaβ¦Kuna HELA huwezi kuzipataβ...
Read More
Sikiliza, hakuna haja ya kuketi chini ili kuelewa ujumbe huu: Ukweli unabak...
Read More
20 - 25 =Iwe kama ni kielimu hujafikia malengo yako,sitisha mara moja tafuta kazi/biashara ya kuf...
Read More
Mbinu 5 za kukufanikisha maishani Unaweza ukawa upo kwenye hali ya kulalamika maisha yako ni magumu ...
Read More
UKIWA NA HIZI TABIA 9, JIANDAE KUFA MASKINIβ¦β¦β¦β¦
By Kashindi EdsonRead More
Wengi wetu tunapenda Mafanikio, tunapenda kufika mbali tunapeda kuwa kama Mengi siku moja.
...
Read More
Watu wengi wanajiuliza, βSiri ya utajiri ni nini?β Je ni mbinu gani zin...
Read More
Jifunze kujikagua, jifunze kujiuliza je hapa ndipo napotakiwa kuwa? Usifurahie tu kwamba upo hapo...
Read More
No comments yet. Be the first to share your thoughts!