Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_2db0b3bc0c7997a54440feb1c11165a9, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/mhubiri/display_user.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/mhubiri/display_user.php on line
4
Mambo muhimu kujua Kuhusu Uvimbe kwenye kizazi cha mwanamke
Date: April 3, 2022
Author: SW - Melkisedeck Shine
Naamini umeshawahi kusikia kuhusu changamoto ya uvimbe kwenye kizazi kwa Wanawake yaani Fibroids. Uchunguzi unaonesha kuwa kati ya asilimia 30 mpaka 70 ya wanawake wapo kwenye hatari ya kupata tatizohili au wengine Tayari wameshalipata. Mpaka hivi sasa hakuna Sababu ya moja kwa moja ambayo inaelezwa kama chanzo cha tatizo hili.
JE NI NANI YUPO HATARINI ZAIDI KULIPATA UVIMBE KWENYE KIZAZI?
Ni Wanawake ambao wanakaribia kukoma hedhi (Menopause) hasa wa kati ya miaka ya 38-45.
Pia Wanawake wanene au wenye Matumbo makubwa (Obesity)
Pia wanawake wasiokuwa na watoto wapo kwenye hatari zaidi ukifananisha na wale wenye Watoto.
DALILI ZA UVIMBE KWENYE KIZAZI NI ZIPI
Tatizo hili linaweza kuwa na Dalili au Kutokuwa na Dalili kabisa. Lakini kwa mara nyingi Dalili zake ni hiziβ¦
ππΏKutoka kwa Hedhi nzito pia kwa muda zaidi ya kawaida.
ππΏDamu kutoka kipindi ambacho sio cha siku zake.
ππΏMaumivu ya Sehemu za Kiuno.
ππΏMaumivu ya Chini ya Mgongo.
ππΏKwenda haja ndogo mara nyingikwa hali isiyo ya kawaida.
ππΏMaumivu wakati wa tendo la ndoa.
Sio lazima uwe na Dalili zote na mara nyingi hazitokei zote hasa ni moja au mbili.
Hivyo Kujikinga au kuepukana na Tatizo hili ni vyema kwa Mwanamke ukapungua Uzito hasa Kitambi au Tumbo kubwa.
Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_2db0b3bc0c7997a54440feb1c11165a9, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/mhubiri/comments.php on line
4
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/mhubiri/comments.php on line
4
Please log in or register to leave a comment or reply.
Related Posts
Unaweza kutumia Lozi na maziwa kutibu shinikizo la chini la damu kama ifuatavyo;
- Lowek...
Read More
Warning: session_start(): open(/var/cpanel/php/sessions/ea-php81/sess_2db0b3bc0c7997a54440feb1c11165a9, O_RDWR) failed: No such file or directory (2) in
/home/ackyshine/mhubiri/bottom_menu.php on line
3
Warning: session_start(): Failed to read session data: files (path: /var/cpanel/php/sessions/ea-php81) in
/home/ackyshine/mhubiri/bottom_menu.php on line
3
No comments yet. Be the first to share your thoughts!